
Tanzania: Uigizaji Radio na Kudra Kwingi
Uigizaji Radio ni mbinu ya kisanii ya kusimulia hadithi, kutoa elimu, au kuburudisha kwa kutumia sauti pekee, Kudra Kwingi ni Miongoni mwa waigizaji wanawake wa mwanzo nchini tanzania anajivuia sana hii, katika Makala ya Nyumba ya Sanaa utamsikia.
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

