
Sanaa ya mjukwani
Wiki hii tunaangazia sanaa ya majukwani.
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

Wiki hii tunaangazia sanaa ya majukwani.
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.
Nobody is credited on this episode yet.
Uigizaji wa Sauti ni Sanaa nyingine inayokua kwa kasi na sasa imeanza kuwalipa waigizaji, Mohamed Kaboba anajivunia kazi hiyo.
Ushairi Jukwaani ni uwasilishaji wa mashairi mbele ya hadhira kwa njia ya sauti, vitendo, na hisia ili kufikisha ujumbe kwa nguvu na mvuto zaidi, Tofauti na ushairi wa kusoma vitabuni, ushairi huu huishi kupitia...
Ukosefu wa Vifaa vya Uchoraji umechangia Sanaa hiyo kudumaa, sasa wachoraji wanalazimika kuagiza kutoka nchi za nje, Kaguta atafuta ufumbuzi.
Wikendi hii tunaangazia msimu wa saba wa tamasha la marafiki festival. Tamasha linalolenga kutangaza utamaduni wa Tanzania.
Lumumba Theatre ni Kundi la Muziki wa Asili linalochanganya Midundo ya kisasa na ya zamani ili kupata Ladha Mpya, Tunaangazia kundi hilo katika makala ya n yumba ya Sanaa Juma hili.