Skip to content
PodSubs
ShowsPeopleGuestsJobsNewsEvents
More
BlogPodCred
Menu
ShowsPeopleGuestsJobsNewsEventsBlogPodCredNetworksSign in
Join nowSign in
  • Shows
  • People
  • Jobs
  • News
  • More
    • Guests
    • Events
    • Blog
    • PodCred
    • Networks
    Join nowSign in

Nyumba ya Sanaa

Nyumba ya Sanaa artwork

Zanzibar: Taarab asilia na Qudara Gwingwi

Sep 5, 202620 minAudio
ShareXLinkedInFacebookWhatsAppEmail

Egyptian Taarab hii Bendi ya Muziki wa taarab, mzizi wa muziki wa Taarab unaofahamika leo katika Mwambao wa Afrika Mashariki, hasa visiwani Zanzibar,katika Makala ya Nyumba ya Sanaa wiki hii utamsikia Qudra Gwingwi Muimbaji wa bendi hiyo.

Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

Hosts and Guests

Nobody is credited on this episode yet.

Credit the people on this episode

Be the first to rate this episode

More episodes

All episodes
  1. Tanzania: Sanaa ya uigizaji wa sauti na Mohamed Kaboba

    Nov 21, 202620 minAudio

    Uigizaji wa Sauti ni Sanaa nyingine inayokua kwa kasi na sasa imeanza kuwalipa waigizaji, Mohamed Kaboba anajivunia kazi hiyo.

    Credit the people on this episode

  2. Sanaa ya ushairi na Suleiman Nambwangula

    Nov 14, 202620 minAudio

    Ushairi Jukwaani ni uwasilishaji wa mashairi mbele ya hadhira kwa njia ya sauti, vitendo, na hisia ili kufikisha ujumbe kwa nguvu na mvuto zaidi, Tofauti na ushairi wa kusoma vitabuni, ushairi huu huishi kupitia...

    Credit the people on this episode

  3. Sanaa ya uchoraji jijini Dar es salaam naye Nasima yasin Abubakari

    Oct 24, 202620 minAudio

    Ukosefu wa Vifaa vya Uchoraji umechangia Sanaa hiyo kudumaa, sasa wachoraji wanalazimika kuagiza kutoka nchi za nje, Kaguta atafuta ufumbuzi.

    Credit the people on this episode

  4. Tanzania: Tamasha la marafiki festival mwaka wa 2026

    Oct 10, 202620 minAudio

    Wikendi hii tunaangazia msimu wa saba wa tamasha la marafiki festival. Tamasha linalolenga kutangaza utamaduni wa Tanzania.

    Credit the people on this episode

  5. Tanzania: Tunaliangazia kundi la Lumumba Theatre

    Oct 3, 202620 minAudio

    Lumumba Theatre ni Kundi la Muziki wa Asili linalochanganya Midundo ya kisasa na ya zamani ili kupata Ladha Mpya, Tunaangazia kundi hilo katika makala ya n yumba ya Sanaa Juma hili.

    Credit the people on this episode